Thursday, June 21, 2012

AY ALIPUA KWENYE TV ZA KIMATAIFA NA 'PARTY ZONE'

Ikiwa ni siku chache baada ya TZ Internatinal AY kuachia video ya jiwe lake alilomshirikisha Marco Chali, vituo vikubwa vya TV vya kimataifa vimeipiga nyimbo hiyo kwa fujo sana.
Video hiyo metambulishwa kwenye "Coming up on Crispy Fresh" ya Channel O pamoja na TRACE Urban in Africa.
Kwa kasi hii, yawezekana kabisa Ay akalikamata zaidi soko la kimataifa. All the best AY.

No comments:

Post a Comment