Wednesday, October 23, 2013

HIP HOP ARTISTS TANZANIA

Ifuatayo ni orodha ya wasanii wakali wa Hip Hop Tanzania, kama kuna ambaye hajaingia tafadhali weka jina lake,kuna mchakato unaendelea;
Fid Q                    Mwana Fa            Young Killer
Prof Jay                Stamina                  Gosby
Lord Eyez             Baghdad                Sugu
Kala Pina              Izzo B                    JCB
Solo Thang            Ney wa Mitego      Ibra da Hustler
Chid Benz             AY                         Songa
Chindo                  Darasa                   One d Incredible
Jay Mo                 Climax                    Godzilla
Nikki Mbishi         Nash Mc                Salu T
G Nako                 AZMA                  Geez Mabovu
Sterio                    Young D                 Mr Blu
Zayd                     Wakazi                   Jafarai
Nikki wa Pili          Jo Makini               Bou Nako
Mchizi Moxx        K wa Mapacha        D wa Mapacha

Monday, October 21, 2013

KANYE WEST NA MAPENZI YAKE KWA KIM

Katika hali ya kustaajabisha aun kufurahisha, msanii Kanye West muda mfupi kabla ya kufanya show ikiwa ni sehemu ya Yeezus tour -- alionekana akiwa amevalia T-shirt yenye picha ya mkewe Kim Kardashian. hali ambayo waweza kuitafsiri kama mapenzi mazito kwa Kim. Tazama Picha   http://www.tmz.com

FID Q: KUACHIA KITABU NA DOCUMENTARY

Baada ya kutangaza kuandika kitabu chake kwa muda wa miaka kadhaa,hatimaye rapa mahiri,mkongwe wa miondoko ya hip hop Fid Q yuko mwishoni kukamilisha kitabu chake,kitakachoitwa THE SWAHILI KID pamoja na documentary itakayokwenda kwa jina la FID HOP, maudhui ya kazi hizo za FID Q ni maisha halisi ya watanzania walio wengi, pamoja na  ufafanuzi wa mashairi ya albamu zake.
Aliongeza pia kitabu kitakuwa katika lugha mbili; kiswahili na kiingereza.


Kila la heri Mr. Fareed Kubanda, a.k.a Fid Q, The Swahili Kid himself kama ulivyoitwa pia na mkali wa hip hop Marekani FAT JOE.

Tuesday, March 26, 2013

TID AVUNJA KIOO CHA GARI LAKE KWA HASIRA YA UGOMVI WA CHIDI BENZI NA NGWAIR


Inasemekana baada ya Chidi Benzi kumpa kitu inauma Ngwea, TID alipatwa na hasira na kupasua kioo cha gari lake, kwa kutumia mkono wake, lakini mwenyewe amesema hajavunja kwa kutumia mkono bali alipiga punch kwa kutumia key holder 
"hawa jamaa wanapigana pigana tu, me wananiuzi unajua kwanini , kwanini wao wanapigana pigana kila saa tu, huyu mara kampiga huyu and we all spend time together, at the end of the day wao wanaanza kupigana, mimi wananiconfuse, wananipotezea concentration ya kazi, but i was just angry, hata mama ananisema kwanini nimevunja kioo, lakini nimemwambia tu mama i was just angry thats it"amesema TID

"hakuna sababu ya msingi watu wanapigana tu, watu wanongea saa zote tupo wote halafu baadae unaona watu wanaanza kupigana, unauliza sababu eti huyu kanambia mi dogo.. come on man.
mi nimewamind wote wanaopigana na ku disturb peace kwenye concentration ya kazi, violence inaonyesha sisi ni wajinga" aliendelea kusema TID
Zaidi msikilize hapo chini akiwa na Gossip Cop ndani ya U heard