Mkongwe wa hip hop nchini Marekani Russell Simmons
ametangaza kwamba Chris Brown na Drake hawana beef tena.
Simmons ameongea na kambi zote mbili ili kuhakikisha kuwa hakuna uhasama mkubwa utakaoendelea kujengeka baada ya wakali wawili Drake na Chris kugeuka mabondia na kudundana
inasemekana kwamba kisa cha ugomvi ni Rihanna ambaye alishawahi kuwa mpenzi wa wakali hao kwa nyakati tofauti
Vyanzo vya habari vinasema Drake ndiye aliyeanzisha ugomvi na mpaka sasa yuko mikinoni mwa polisi.
Mkali wa Hip Hop The Game naye amewataka Breezy na Drake walimalize beef kiutuuzima
i lov drake flexibility.i gat it too
ReplyDeleteHEY TZ MUSICIAN THIS IS YOUR BLOG.PROUDLY TANZANIAN BLOG .GET TO USE IT .BIG UP PRODUCER COMECOOL FOR THE JOB
ReplyDeletethanx sam chabil, we got it!
Delete