Thursday, August 2, 2012

'D KNOB' ARUDI TENA KWENYE GAME

Mkali wa Bongo flava na mkongwe wa muziki huo D Knob ambaye anajulikana kwa nyinbo zake zilizovuma sana kama vile, 'Elimu ya mtaa, Bad Man, na nyingine nyingi, ametangaza kurudi tena katika game la bongo flava baada ya kukaa kimya kwa takribani mwaka mmoja.

D Knob amesema hayo kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Facebook.

Haya ndiyo maneno yake D,

"wus up. Leo tangu asubuhi was at makopa studio (ya Mb Dog) with Bwana Misosi recording. Imekuwa kama mwaka since i was kwa booth,was gud tho"

No comments:

Post a Comment