Baada ya mvutano mkubwa kati ya wana hip hop waliokuwa wakiliunda kundi la Mobb Deep, Prodigy na Havoc ambaye pia ni Producer wa muziki, Havoc ameamua kuachia wimbo unaomdiss P.
 |
| Havoc |
Uhasama wao ulianza pale Havoc alipoandika maneno ya kashfa juu ya Prodigy kupitia mtandao wa kijamii wa Twitter.
 |
| Prodigy |
No comments:
Post a Comment