Thursday, August 2, 2012
WITNESS HARAKATI MPAKA STATES-WHITE HOUSE
Haya ni maneno ya Witness kupitia mtandao wa Facebook hivi punde;
"tsup ma pipo nilifika states salama na sas nitajaribu kuwapatia updates kadri niwezavyo but kama kuna mtu ana maswali anataka kujua kitu chochote kinacho husu states tafadhali msisite kuuliza niwajibu sana sana ki serikali sheria pamoja na hip hop music nitawapostia picha za white house na sehemu mbali mbali tulizo tembelea kwa sasa nina haraka ninaelekea airport kuelekea Detroit ,Michigan tunatokea Washington Dc ambapo tulikuwepo toka jmosi nimewamiss sana much love!!!!"
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment