Msanii wa Hip Hop Marekani Soulja Boy, ameshitakiwa kwa kuiba mashairi ya wimbo aliouachia kwa jina la ''Swag Daddy.''
Soulja na lebo yake ya alishitakiwa na S.O.D. Money Gang Entertainment Inc ameshitakiwa na ''Hip-Hop Frat House and Michael J. Garcia '' wakionesha ushahidi waq kopi ya CD ya wimbo ulioandaliwa kwa ajili ya Soulja, na kitu cha ajabu mkali huyo aliachia wimbo huo baada ya miezi kadhaa.
Hii ndiyo kazi yenyewe iliyoibwa:
No comments:
Post a Comment