Wednesday, October 24, 2012

LIJUE CHIMBUKO LA NENO ''BAKURUTU''

Je wajua chanzo cha neno BAKURUTU? Ni Lake Hotel Bukoba katika maka ya 90. Lilikuwepo disco la watu wazima, na ilikuwa marufuku vijana kuingia ukumbini, na Dj/Mc alikuwa akitangaza mtaani (PA) BAKURU TU, BAKURU TU....akimaanisha WAKUBWA TU, WAKUBWA TU...mwisho wa siku nyimbo za zamani zte zikaanza kuitwa Bakurutu...Historia hii tumepewa na Mzee aliyekuwa mdau wa disco hilo. (Mzee RWEYEMAMU)

No comments:

Post a Comment