Friday, October 19, 2012

SUGU AJA NA POMBE MPYA: DEIWAKA GIN


Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi, maarufu kama Sugu, anatarajia kuzindua kilevi kipya kiitwacho ‘Deiwaka Gin’ – The spirit of Tanzania.
Sugu aliongea hayo kiupitia ukurasa wake wa facebook.

Tukae tayari kwa kinywaji hicho kipya.

No comments:

Post a Comment