Friday, October 19, 2012

ROMA AMPAISHA KALA JEREMIAH


Baada ya mkali wa hip hop Kala Jeremiah kuachia trak yake mpya inayozidi kushika kasi ijulikanayo kama 'Dear God' Mkali mwingine wa Hip hop TZ mwenye tuzo kadhaa zikiwemo Kili, Roma, amemsifia Kala kupitia mtandao wa Facebook.

Hay ndiyo maneno ya Roma;

''MWAMBIENI KALA JEREMIAH POPOTE ALIPO NIMEIELEWA NGOMA YAKE MPYA YA DEAR GOD!!! NA NAIPA BARAKA ZOTE IELEWEKE NA WATANZANIA WOTE NA DUNIA!! na mungu atanisikia maana hakuna MUNGU mwingine!!!''

No comments:

Post a Comment