Monday, October 21, 2013

KANYE WEST NA MAPENZI YAKE KWA KIM

Katika hali ya kustaajabisha aun kufurahisha, msanii Kanye West muda mfupi kabla ya kufanya show ikiwa ni sehemu ya Yeezus tour -- alionekana akiwa amevalia T-shirt yenye picha ya mkewe Kim Kardashian. hali ambayo waweza kuitafsiri kama mapenzi mazito kwa Kim. Tazama Picha







   http://www.tmz.com

No comments:

Post a Comment