Monday, October 21, 2013

FID Q: KUACHIA KITABU NA DOCUMENTARY

Baada ya kutangaza kuandika kitabu chake kwa muda wa miaka kadhaa,hatimaye rapa mahiri,mkongwe wa miondoko ya hip hop Fid Q yuko mwishoni kukamilisha kitabu chake,kitakachoitwa THE SWAHILI KID pamoja na documentary itakayokwenda kwa jina la FID HOP, maudhui ya kazi hizo za FID Q ni maisha halisi ya watanzania walio wengi, pamoja na  ufafanuzi wa mashairi ya albamu zake.
Aliongeza pia kitabu kitakuwa katika lugha mbili; kiswahili na kiingereza.


Kila la heri Mr. Fareed Kubanda, a.k.a Fid Q, The Swahili Kid himself kama ulivyoitwa pia na mkali wa hip hop Marekani FAT JOE.

No comments:

Post a Comment