Friday, May 25, 2012

Di GOLD na WAJUKUU ENTERTAINMENT

Mzee wa TOMORROW Di-Gold akiwa na Baghdad, Dj Remmy, Dickson na Koliombi (Mdogo wa Prof. Jay) kwa pamoja wanakuja na kitu wanachokiita WAJUKUU ENTERTAINMENT. Di Gold ambaye anatamba sasa na nyimbo yake kali ya Tomorrow iliyonyongwa kwa Mensen Selekta, ameyaweka wazi hayo kwenye THE BASH FANS Group kupitia mtandao wa Facebook.

Haijawekwa wazi WAJUKUU ENTERTAINMENT itahusika na nini hasa, bado team ya 4 GOOD 4 MUSIC inamsaka Di-Madhahabu kutupa undani wa hiyo kitu.

No comments:

Post a Comment