Msanii wa Hip Hop Nas wa Kitaa amerudi na nyimbo mpya mara hii akimshirikisha Mad P pamoja na Atanas. Kazi hii imefanyika SEI RECORDS.
Nas Wa Kitaa alishawahi kufanya kazi kibao ikiwemo 'Hali Halisi' akimshirikisha Steve RnB, Mad P na Dokta O, kazi nyingine ni 'Asili Haipotei'-Fishcrab(Lamar), 'Mangapi' akiwa na Stiba-(Micka Jr/Aggeiz Recs), 'Gangster'-(Micka Jr/Studio...) pamoja na nyingine kibao..

No comments:
Post a Comment