Monday, June 11, 2012

SUGE KNIGHT ASHINDA KESI YA MADAWA

CEO wa zamani wa DEATH ROW, Suge Knight ameachiwa huru na kuishinda kesi iliyokuwa ikimkabili kufuatia kukutwa na Madawa ya kulevya ndani ya gari Februari 8, 2012 akiwa Las Vegas.

Suge ameachiwa baada ya kesi kukosa ushahidi wa kutosha.

Hata hivyo Suge ametozwa faini ya jumla ya Dola za Kimarekani 425 kwa kosa la kuendesha gari bila leseni

No comments:

Post a Comment