Wednesday, July 4, 2012

50 CENT KUACHIA ALBUM BURE...

Msanii wa Hip hop toka G-Unit 50, ametangaza kuwa ataachia album yake ya 5 bure kwa mashabiki wake. Ametangaza kuichia album hiyo kwa njia ya mtandao kwa anayetaka ata-download tu. Album hiyo inatarajiwa kuachiwa tarehe 6 July 2012, siku ya ijumaa

Wakati huo huo mkali huyo ameachia ngoma yake mpya ya Murder by Numbers

No comments:

Post a Comment