Wednesday, July 4, 2012

CHRIS BROWN NA FREESTYLE YA KUMDISS DRAKE

Baada ya kituko cha June 14, Chris brown ameachia freestyle kumdis Drake. Freestyle hiyo imesambaa sana kwenye mitandao mbalimbali ya Internet.
Baadhi ya mistari hiyo no kama...."One on one, what you scared bruh? ... Them eyebrows, man, them sh--s is yikes!" and "OVO, you overdose, YOLO no, I live twice!"....
 Hatua hii ya Chriss inaenda kinyume kabisa na kauli ya Simons aliyetangaza kuwapatanisha hawa wakali wa mbele.

No comments:

Post a Comment