Tuesday, July 17, 2012

COLLABO YA MA-Producer wa TZ na UG

Baada ya safari 256 katika link za international, wakali wamerudi 255 na mzigo ambao ni collabo ya Producer P Vib wa UG na Producer M-TZ MiCKA Jr mzigo utaachiwa kesho 18 Julyu 2012 ikiwa ni Production ya Scorpion Recs (UG). Check 'cashvibesdjcashmizo.blogspot.com' na 'forgoodformusic.blogspot.com'
 

No comments:

Post a Comment