Kutoka studi LOOZE LINE Pro. MiCKA Jr amefunguka na kusema kuwa ngoma mpya ya msanii Bonifasii iko kwenye hatua za mwisho, ngoma hiyo itaitwa "KWISHA HABARI YAO".
Bonifasii anafanya vizuri saiz na Crew ya WAKAWA na UJIO KAMILI ambayo inafanya poa kwenye Radio kama KISS FM,.....

No comments:
Post a Comment