Thursday, August 2, 2012

SNOOP DOGGY ABADILI JINA NA KLUJIITA "SNOOP LION"

Katika hatua ya kushangaza, Mkongwe wa Hip hop Snoop Doggy ametangaza kubadili jina lake na kujiita "Snoop Lion"

Habari hizo zimesambaa sana kwenye mitandao mbalimbali kwenye intanet zimewashtusha wengi. Snoop Lion amebadili jina wakati akirekodi albam yake mpya ya rege nchini Jamaika. Baadhi ya nyimba chache za rege za msanii huyo zimeanza kupigwa katika vituo mbalimbali vya habari.

Hii ni habari katika mtandao wa facebook,

SAY WHAT!? R.I.P Snoop Dogg. Well, kind of. The rapper has just announced that he has changed his name to 'Snoop Lion' following a spiritual and artistic transformation while in Jamaica recording his new reggae album, which is one piece of a three part project that also includes a documentary and coffee table book. "I have always said I was Bob Marley reincarnated," Snoop Lion said, reports the NY Times. "I have always been a Rastafari." Do you LIKE Snoop's new name?

No comments:

Post a Comment