Kundi la CAMP MULLA la nchini Kenya linependekezwa katika tuzo za kimataifa za muziki za BET. Kundi hilo limependekezwa katika category ya Best International Act.
Ni mafanikio kwa game la East Africa katika International level, lakini bado kwa upande mwingine ni changamoto kwa wasanii na makundi mengine ambao hawajaweza kupiga kimataifa, na wale wanaolianza game. Big up Camp Mulla.

No comments:
Post a Comment