Mkali wa Hip Hop TZ,Mweusi Joh jana alikuwa Studio za MO jijini Mwanza The Rock City pamoja na Producer mkali Q the Don. Joh alifanya kazi hii baada ya kumaliza show zake alizokuwa nazo Mwanza.
Ikumbukwe Joh ameshawahi kutoa hit kali sana na Q kama vile "Muda", tutegemee ujio mkali wa combination hii. Q anajulikana kwa nyimbo kali kama vile Mchizi Wangu ya NAKO 2 NAKO, Style 3 ya STOPPER na nyinginezo nyingi.

No comments:
Post a Comment